Darsa za mwezi wa Ramathan

Somo la kumi na nane (18) Assalam alaikum Katika darsa letu la leo tuta tazama baadhi ya hukumu nyeti zinazo ambatana na usiku wa mwezi wa Ramadhan. Tukizijua hukumu hizi swaumu zetu zitakuwa katika njia iliyo nyooka. Na kama hatutazijua hukumu hizi basi swaumu zetu zita haribika, itatubidi kulipa deni pamoja na kulipa kafara. Jambo ambalo ni kubwa sana! Hebu na tutazame kwa ukaribu aya inayo ambatana na hukumu za…Keep Reading